Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Francis Alfred, akifafanua fursa ambazo Bodi hiyo imeziandaa kwa vijana na wanawake kupitia mikakati iliyoandaliwa na Bodi kuendana na Dira 2050 ambayo itaanza kutumika katika mwaka ujao wa fedha. Ananayesema haya katika mazungumzo na waandishi wa Business Insider katika ofisi za jarida hilo jijini Dar es Salaam.









